Huu mti unaitwa pine (pine tree), sijui kwa kiswahili unaitwaje. Ushauri wangu kama utatumia mbao zake, hata kama ni kweli haziliwi na wadudu jitahidi tu uweke dawa ya kuzuia wadudu wanaokula mbao au ununue mbao ambazo ni treated ili kuwa safe zaidi.