Mti huu unafaa kwa kivuli.

Mti huu unafaa kwa kivuli.

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Kuna baadhi ya member wananifuata pm wakihoji ni miti gani inafaa kupata ñyumbani kwa kivuli.Basi leo nitawaonyesha
IMG_20171024_213600.jpeg
Hapo ndo home kwangu na huyo ni hg wangu,huo mti mzuri sana kwa kivuli.
 
mti wa kichina huo auna muda unapukuchika majani especially ukiishiwa maji
 
mkuu kuu mwagilia mti huo wa kichina gharama, we mwenyewe umesikia hata Noa niliyotegemea kupokea bariki ime yeyuka sasa maji ntayabebaje kuufikishia mti huo, Ngoja nikuachie wewe uliopo karibu na kisima utaumudu mkuu
 
Mti unamatunda machungu na matamu huu
 
mkuu kuu mwagilia mti huo wa kichina gharama, we mwenyewe umesikia hata Noa niliyotegemea kupokea bariki ime yeyuka sasa maji ntayabebaje kuufikishia mti huo, Ngoja nikuachie wewe uliopo karibu na kisima utaumudu mkuu
Kweli kama huna akiba ya kutosha ya maji lazima mti huu utasinyaa
 
Back
Top Bottom