Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
Hapana jaribu kuupanda utafurahimti wa kichina huo auna muda unapukuchika majani especially ukiishiwa maji
Kweli kama huna akiba ya kutosha ya maji lazima mti huu utasinyaamkuu kuu mwagilia mti huo wa kichina gharama, we mwenyewe umesikia hata Noa niliyotegemea kupokea bariki ime yeyuka sasa maji ntayabebaje kuufikishia mti huo, Ngoja nikuachie wewe uliopo karibu na kisima utaumudu mkuu
Hahaaaaa kama hupendi michezo utajikuta unahudhuria kila pindi