KAKA A TAIFA
JF-Expert Member
- Apr 27, 2011
- 566
- 82
Katika mkoa fulani mtii huu hutumika kwenye kingo za mipaka,ni mti wa asili,na ni mti wa mila.kama mtu atakuwa kafanya makosa na akakuomba kwa kutangiliza ma/jani lake kimila lazima umsamehe.lipo kwenye jamii ya (dracaena).wenyewe huu waitwa dracaena albaencianica.akina dada wanautumia kama dawa ya...........,pia maji yake hutoa harufu ya pombe mdomoni,pia ni dawa ya tumbo