Mti huu

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2011
Posts
566
Reaction score
82
Katika mkoa fulani mtii huu hutumika kwenye kingo za mipaka,ni mti wa asili,na ni mti wa mila.kama mtu atakuwa kafanya makosa na akakuomba kwa kutangiliza ma/jani lake kimila lazima umsamehe.lipo kwenye jamii ya (dracaena).wenyewe huu waitwa dracaena albaencianica.akina dada wanautumia kama dawa ya...........,pia maji yake hutoa harufu ya pombe mdomoni,pia ni dawa ya tumbo
 

Attachments

  • 58119_1621501706109_1493444982_1586561_316388_n[1].jpg
    68.2 KB · Views: 104
1. Masale kwa kichaga.
2. Kuombea msamaha ni wamasai
3. Pia uwa unawekwa kwenye pembe nne za makaburi
 
Wahaya wanaita omulamula ni kwa ajili ya mpaka na utibu kutokwa damu puani
 
Nimekupata nyenje nkuru. Hasa jina la mti huu ni "omulamula". Mimi ninavyofahamu mti huu hata kwa kiswahili unaitwa omulamula. Huu ni mti wa heshima na tungependa kifafanua zaidi tungeita mti huu mwamuzi. Mti huu unawekwa kwenye mipaka, makaburini, ni dawa na mambo kem kem! Haya sema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…