Mti wa Krismasi wa JKIA umebadilishwa baada ya Wakenya kuonekani kituko mtandaoni

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Mti wa Krismasi wa JKIA ulikuwa kituko kwa Wakenya mtandaoni umebadilishwa masaa kadhaa baada ya kuwafanya wakenya kudhihakiwa.

Wafanyikazi wa uwanja wa ndege walionekana wakiweka pamoja mti mpya wa Krismasi wa JKIA Jumatano usiku.

Hata hivyo hakukuwa na taarifa yoyote kutoka kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege vya Kenya inayoonyesha kwanini wameamua kufanya mabadiliko hayo.

1576735343358.png

Kwa zaidi, soma:

The hideous JKIA Christmas tree that was the butt of jokes for Kenyans online has been replaced hours after it set social media abuzz.
Airport workers were seen putting together the new JKIA Christmas tree on Wednesday night.

There was however no statement from Kenya Airports Authority indicating why they had decided to make the change.
A section of Kenyans who noticed the new tree took pictures and shared them online.

Mohammed Hersi, the Chairman of Kenya Tourism Federation said: “Christmas Tree at JKIA. Before & After. Is the first production the level of delivery ? what about areas that Kenyans are NOT able to see . Thank you Kenya Airportsfor the correction but please stop cuddling animal called mediocrity. Get it right first time. Happy Holidays.”

“Now that Kenya Airports has mounted a better Christmas tree at JKIA can they ensure its properly decorated. As in properly decorated, after everything we’ve survived this year we DESERVE JUST ONE NICE THING. There are beautiful decorations in many shops. Thanks,” Scheaffer Okore said on Twitter.

“Now a better Christmas Tree has been erected in JKIA. It seems that for anything to work in this country there must be some force. Now we will force a revolution,” Kaberia Jnr. added.

Kenny Kaburu said: “Due to your huge outcry online over the emaciated Christmas tree at JKIA, it has now been replaced with a more bigger and fatter one. Social media always winning.”

“That JKIA Christmas tree has been replaced with crazy speed! Lol,” Gituma Nturibi added.

Source: Citizen
 
Huo wa kwanza haukuwa mti bali vyuma.

Although kweli ilikuwa kituko cha decade 😁!
 
Hivi asili ya huu utamaduni wa kuweka hii miti kama sehemu ya kusherehekea Christmass ni wapi? na kwanini huo mti tu na sio miti mingine? naomba kuelimishwa wakuu.
 
Mti wa Krismasi wa JKIA ulikuwa kituko kwa Wakenya mtandaoni umebadilishwa masaa kadhaa baada ya kuwafanya wakenya kudhihakiwa.

Wafanyikazi wa uwanja wa ndege walionekana wakiweka pamoja mti mpya wa Krismasi wa JKIA Jumatano usiku.

Hata hivyo hakukuwa na taarifa yoyote kutoka kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege vya Kenya inayoonyesha kwanini wameamua kufanya mabadiliko hayo.

View attachment 1296937

Kwa zaidi soma.

The hideous JKIA Christmas tree that was the butt of jokes for Kenyans online has been replaced hours after it set social media abuzz.
Airport workers were seen putting together the new JKIA Christmas tree on Wednesday night.

There was however no statement from Kenya Airports Authority indicating why they had decided to make the change.
A section of Kenyans who noticed the new tree took pictures and shared them online.

Mohammed Hersi, the Chairman of Kenya Tourism Federation said: “Christmas Tree at JKIA. Before & After. Is the first production the level of delivery ? what about areas that Kenyans are NOT able to see . Thank you Kenya Airportsfor the correction but please stop cuddling animal called mediocrity. Get it right first time. Happy Holidays.”

“Now that Kenya Airports has mounted a better Christmas tree at JKIA can they ensure its properly decorated. As in properly decorated, after everything we’ve survived this year we DESERVE JUST ONE NICE THING. There are beautiful decorations in many shops. Thanks,” Scheaffer Okore said on Twitter.

“Now a better Christmas Tree has been erected in JKIA. It seems that for anything to work in this country there must be some force. Now we will force a revolution,” Kaberia Jnr. added.

Kenny Kaburu said: “Due to your huge outcry online over the emaciated Christmas tree at JKIA, it has now been replaced with a more bigger and fatter one. Social media always winning.”

“That JKIA Christmas tree has been replaced with crazy speed! Lol,” Gituma Nturibi added.

Source: Citizen
 
Ungechaguliwa mti natural mmoja aina ya accasia,iliyopo hapo airport,ambao upo mahali pazuri,ukapruniwa na kupambwa ingependeza zaidi,na wala tusingechekwa.Ni ubunifu tuu ulihitajiwa.Ni kweli ule wa kwanza ulikuwa kituko,WaKenya hawakukosea kutucheka.Tujifunze kuendana na viiwango vya Kimataifa kwa sababu pale pako machoni sana.
 
Back
Top Bottom