Weka vipimo vya urefu wake na mzunguko wake tukupigie hesabu, maana bila hivyo itakua kubahatisha miti mingine urefu wa Dr Pimbi au Oscar Tall mingine upana Betina mingene ZenaNaomba mnisaidie kitaalamu mti wa miaka kumi wa mbao unaweza kutoa mbao ngapi za 1×8 na unakuwa na kipenyo kiasi gani kwa vipimo
Oo!kwaheli,angalia miti iliyojiran na eneo lako uliza umli wake chukua vipimo lete,miti hutofautiana kulingana na eneo, aina, hali ya hewa,matunzo nkHapana sifahamu maana nataka kupanda miti ya mbao ekari tano sasa nlitaka kujua mti mmoja unatoa mbao ngapi ili nipige hesabu kwa hiyo nlitaka makadirio ya kitaalamu tu
Oo!kwaheli,angalia miti iliyojiran na eneo lako uliza umli wake chukua vipimo lete,miti hutofautiana kulingana na eneo, aina, hali ya hewa,matunzo nk
Unaweza kutoa Mbao Kumi ( 10) tu.