mzaula ndahani
Senior Member
- Feb 20, 2015
- 138
- 20
Wanajamvi naomba kuufahamu mti huu.inasemekana magamba yake ni Tiba Kwa tezi Dume.Kwa anaye ufahamu mti huu atujuze na atuwekee picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hiyo tip yako imekuja too late, kwa kuwa tayari Taifa letu lishapoteza mamilioni mengi ya pesa za kigeni kwa kumpeleka mkulu kwenda 'kupasuliwa' tezi lake dume kule Marekani.Wanajamvi naomba kuufahamu mti huu.inasemekana magamba yake ni Tiba Kwa tezi Dume.Kwa anaye ufahamu mti huu atujuze na atuwekee picha