Yaani hiyo tip yako imekuja too late, kwa kuwa tayari Taifa letu lishapoteza mamilioni mengi ya pesa za kigeni kwa kumpeleka mkulu kwenda 'kupasuliwa' tezi lake dume kule Marekani.
Kama hiyo clue ungeitoa angalau mwaka jana mwanzoni, tungekushikuru sana!