Mti wa parachichi

Mti wa parachichi

Matukutuku

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
269
Reaction score
126
Wadau naomba kujua kwa utaalam wenu mti wa parachichi wa kiasili unachukua muda gani mpaka kuja kuzaa matunda.
 
I think kwa hizi hybrid seeds ni miaka 3, but ile ya asili kuanzia miaka 5
 
Back
Top Bottom