MTIA NIA UBUNGE AANZISHA FUJO

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
MTIA NIA UBUNGE AANZISHA FUJO

Mtia nia ya Ubunge Jimbo la segerea ndugu Rajabu Amiry afanya fujo katika kikao cha maelekezo kwa watia nia ya ubunge wilaya ya ilala huku akiwa ameandaa kundi kubwa la wanahabari nje ya ofisi za ccm ilala kinyume na utaratibu

Akiongoza kundi kubwa la wasanii kufanya fujo katika kuelekea mchakato wa kura za maoni
 

Attachments

  • VID-20250803-WA0147.mp4
    11.5 MB
  • IMG-20250803-WA0146.jpg
    194.4 KB · Views: 36
Hao acha wauwane tu, hivi mtu na akili zako timamu unaanzaje kushabikia ccm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…