Mtibwa hamjawahi kutuangusha


Kweli kabisa. Mtibwa hawakuwa na bahati vinginevyo wangeshinda kwa idadi kubwa zaidi.
 
Haya maneno yasimame kama yalivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudi uje usome upupu wako hapa
 
Mimi ni simba ila jwa POS hi na umelala mku muda huu
 
Watu kama nyie mnaoandika kwa herufi kubwa ndo mnaiponza team yetu
 
Mkuu nakutakia usiku mwema, usiku usio na mawenge.
 
Naona mtaani kwetu kumelipuka kwa shangwe,boda boda magari yanapiga honi balaa mashabiki Ni kushangilia tu,shangwe hizi Ni Kama za mwakapya Aisee,
 
Sijui una hali gani wewe ndugu muda huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…