Ubingwa ni wetu ni Jambo la muda tuTeh teh teh leo hii mnamtaja Mungu?nyie si mlikuwa mnamtegemea mungu wenu wa Chato na mkaapa mtachukua ubingwa back to back hadi atakapotoka madarakani.
Kabisa hata mimi naona mtakavyo shinda ManunguSimba itashinda na aibu zitakuwa juu ya TFF na haters
Hao vijana hawawezi kuwapiga wanaume zaida droo ndo ushindi kwaoIli mpigwe.
Mpira umekushinda, nenda kaimbe taarabu.Njoo tanzania ambapo Majani ya uwanja ya mpira ni mboga
Nimezoom upande aliposimama line two nimeona tembele
Wewe acha kelele Pablo anajua kuliko wewe katoka Madrid yule.Bocco anaingia kufanya nn
Jomba kubaki tu ngumu hip hop, uku siyo [emoji23][emoji23][emoji23]Njoo tanzania ambapo Majani ya uwanja ya mpira ni mboga
Nimezoom upande aliposimama line two nimeona tembele