Mtibwa Sugar 0-0 Simba SC | Ligi kuu Bara| Manungu Morogoro

Dakika ya 5 Wachezaji wamechafuka hatari. Wameamua kutumia uchawi wa mvua ila tunashukuru kila anapopita Simba mvua zinanyesha. Baraka tosha kwa nchi asante Mnyama
 
Tuna imani na kocha wetu kutoka Madrid, Pablooooooo mwenyeweeeeeeeee huyo.
 
Dakika ya 5 Wachezaji wamechafuka hatari.Wameamua kutumia uchawi wa mvua ila tunashukuru kila anapopita Simba mvua zinanyesha.Baraka tosha kwa nchi asante Mnyama
Hii ni ndondo.
 
mbona nasikia mtibwa wako kundi moja na kna azam, namungo, kmc na coastal. [emoji1]
 
BIOOOOOOOODI YA LIGIIIIIIIIIIII....
 
Leo simba anakufa moja goal la Juma Nyangi
 
Mtibwa wanafanya attack, Simba wanapora mpira wanashambulia sakhoo namna gani anakosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…