mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Viongozi wa mtibwa wamedai kuwa baada ya kucheza Mechi yao Alhamis dhidi ya Dodoma jiji waliondoka Dodoma na kuelekea Iringa kama ratiba ilivyoelekeza lakini baadae walipokuwa Iringa walitumiwa barua ya kubadilishiwa uwanja na kuwa Azam Complex wa Dar
Hali iliyopelekea uchovu na hivyo mtibwa kushindwa kufanya vizuri na kupoteza kwa bao 2-1
Hali iliyopelekea uchovu na hivyo mtibwa kushindwa kufanya vizuri na kupoteza kwa bao 2-1