Mtibwa sugar vs Biashara United: Mtibwa yafufukia Manungu

Mtibwa sugar vs Biashara United: Mtibwa yafufukia Manungu

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Mechi inaendelea dk ya 80 mtibwa anaongoza 2-0 na bado anashambulia kwa kasi Sana.

Magoli ya mtibwa yamefungwa na Gorge Nzigamasabo Steve 12'p

Demla dk ya 62'

Hii ni mechi ya kwanza mtibwa kushinda msimu huu
Hii ni mechi ya kwanza kuchezwa manungu msimu huu

Sasa mtibwa wamefikisha point 5 sawa na Geita huku wakisalia mkiani
Bado Kuna mtu anaamini mtibwa anashuka Daraja
 
Mtibwa mwishoni mwa round ya kwanza nawaona kama wanazinduka hivi au labda Biashara wanamgomo baridi.
 
Back
Top Bottom