Mtifuano mkali uspika, Musukuma atamba na PhD yake

GRAMAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
1,241
Reaction score
3,800
Mgawanyiko mkali kati ya watu wa Lukuvi,Tulia,Mussa. Kila mtu anataka mtu wake awe spika wa bunge. Na kila kundi linaona mtu wake ndio anafaa kuwa spika.

Musukuma kubebwa na PhD yake ili kuukwaa uspika.

Ngoja tuone mwisho wa hii kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…