Mtifuano unaoendelea chadema umeandaliwa na ccm? Sasa Makalla alijuaje kuwa utatokea?

Mtifuano unaoendelea chadema umeandaliwa na ccm? Sasa Makalla alijuaje kuwa utatokea?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898

Hapa Makalla anataja tarehe za mgogoro kutokea na sababu za mgogoro kutokea, halafu kapita mule mule!

Makalla alijuaje kama kimkamia
 
Ccm ngoma naona mndemka nayo tu.
images (1).jpeg
 
Back
Top Bottom