Mtifuano wanaume wa Dar vs wanaume wa mikoani

Wanaume wa dar sometimes mnatia aibu alaaaaa!!!!!! Mnawalalamika hadi wanawake wa mikoani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume wa dar weng ni wagonjwa wa akili,unapoona 4 jua mmoja dishi limechez,utani & utafit
 
Ila kwa nin wanawake wa mikoani wanawashobokea watu wa Dar na pia Vijana wengi wa mikoani wanakuja Dar kutafuta.maisha wakikosa kazi hapo tunapata vibaka Mateja Mashoga? mfano huyu Kaoge ni wa Mkoani huko kanda ziwa
kaoge katokea mkoa gani vile? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jamani wanaume wa Dar mmewasema wanavyonyanyaswa na Panya road mpaka juzi nao wamejitutumua kuua vile vitoto kule Mbagala sijui Taifa jipya. Anyway pamoja na kukaa saba Dar nimeshindwa kabisa kuiga tabia fulani kama kula maindi na ndimu na chumvi, kutofanya kazi hasa baba akiwa na nyumba,usafi ni muhimu lakini wengine wanajiremba kama wanawake kupenda sifa wakati huna wala hutafuti pesa, tabia hizi hazipo kwa wingi mikoani
 
Ulimbukeni.....mahindi unakula kama ugali na ndimu ,pilipili hutiwa kwenye mboga unazokula...huna point...kojoa ukalale
 
nyie wa mikoani mlivyo mapunguani mnaua hadi maafisa wa kilimo, sa ndo nini, yani nyie ni zaidi ya panya road[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…