Mtihani darasa la saba wavuja

Nokla

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
3,190
Reaction score
1,774
Walimu wanne wa Shule ya msingi ya Ukerewe mkoani Mwanza wanashikiliwa na polisi baada ya kufumwa wakiandaa majibu ya mtihani wa darasa la saba.

Hizo ni baadhi tu ya habari inayopatikana kwenye gazeti la Mwananchi.
Tafakari chukua hatua

source: Mwananchi
 
Kufuta swala la chabo tanzania ni sawa na kuufuta mlima kilimanjaro pale moshi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
katika vitu rahisi vya kufanya ni kuiba huu mtihan wa darasa la saba unaofanywa sasa. manake unaweza kusubiri hadi wagawiwe kisha wewe unachukua karatasi kwa msimamizi unashade tu unawapa wanafunzi kwani gumu hilo wafkir? majibu yenyewe ya a, b, c. hata mimi nafurah sana hili kutokea ili wakubwa waone ushauri wa wale wanaowaita wasiokuwa na kazi unavyofanya kazi na ulivyo wa maana.

kuna waliowah kupendekeza mtihan upime application analysis and synthesis tu ila wajuaj wakaona upime knoowledge what do you expect?
 

mkuu umenena swadakta kabisa!
 

Kama mwalimu ni mtaalamu wa test construction, anaweza kutunga swali la multiple choice katika level zote including knowledge, comprehension hadi evaluation. Mfano: Njia sahihi ya kujikinga na maralia ni a).......b).......c)......d).......swali hili liko katika level ya application. So it all depends.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…