maliki marupu
Member
- Nov 5, 2011
- 8
- 0
Ni matumaini yangu kuwa watanzania wote tupo katika maombolezi ya maafa ya watanzania wenzetu waliopata mafuriko kutokana na mvua zinazoendelea kunywsha.mungu ibariki tanzania mungu ibarikiafrc.ni siku chache zimesalia vijana wa kidato cha 6 wafanye mtihani wao wa kidato cha sita.hofu yangu kubwa ni kuwa na matumaini ya wanafunzi kufanya vibaya sana ktk masomo hii ni kutokana na baraza kutokuainisha topics mahususi zitakazotumika ktk mitihani.hii ni kutokana na mabadiliko ya syrabus ya masomo ya kidato cha sita.halii hii inawafanya wanafunzi kutokujua ni topics zipi wanapaswa wasome.haya ni maafa makubwa ya kitaaluma zaidi ya maafa ya kigogo by 0712099058