Watu bhana jibuni swali la mtoa mada ajapiga kelele,
nyie ndo mnaopiga kelele ajakataa kufanya mtihani, anauliza mode ya hiyo mitihani itakuwaje?.
Mbona humu Kuna mada nyingi za kada mbalimbali wanauliza uko maswali ya sahili mbalimbali za utumishi,
angali ya kuwa wao ndio utaratibu wao wa muda mrefu kufanya hizo sahili lakini Bado Kuna sehemu wanaona kunakaukakasi wanauliza wanasaidiwa na wao wanarejea nyingi hai.
Why kwa huyu teacher asiye na rejea ya sahili amtaki aulize mnamwambia anapiga kelele hivi mpo serious kweli