Mtihani mwingine baada ya mtihani wa darasa la 7 ni sahihi?

Mtihani mwingine baada ya mtihani wa darasa la 7 ni sahihi?

nhyama

Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
48
Reaction score
29
Serikali kwa mjibu wa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi kubuni kuwa na mtihani mara baada ya mwanafunzi kujiunga na kidato cha kwanza. Je mtihani wa darasa la saba unatija?
 
Si wamechakachua matokeo? Hiyo ni kutaka kuficha aibu ya kukutwa watoto hawajui kusoma na kuandika halafu wamefaulu. Ama kweli CCM watatumaliza kabisa.
 
Nchi hii kila ovu ni sahihi, ikiwa tu hao wanasiasa watabariki. Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo Mtihani wa Taifa unafanyika, kisha unaonyesha ya kwamba mtu amefaulu..
Baadaye mwanafunzi huyo anapewa Mtihani mwingine wa 'uchochoroni' kisha kuonekana hawezi kusoma wala kuandika. Matokeo ya Mtihani wa 'uchochoroni' ndio yanayokubalika. Mtihani wa Taifa hauaminiki na Taifa.
 
Back
Top Bottom