Habari zenu wanaJF. Wife leo kapigiwa simu, unajua mambo ya wivu nikauliza aliyepiga simu ni nani ? Akasema kwa kuwa nataka kujua aliyepiga simu tubadilishane simu (pamoja line zake) yeye achukue ya kwangu na mimi nichukue ya kwake kwa muda wa wiki moja. Ameng'ang'ania hilo swala na mimi nina vimeo kwenye simu yangu yaani sijui la kufanya kujiepusha na hili. Msaada wa mawazo unahitaji kuninasua katika hili.
Easy sana hiyo mkuu. Block miito yote inayokuja kwenye simu yako, ila utakubali kuwa nje na mawasiliano maana hakuna simu wala msg itakayoingia ila wewe utaweza kupiga na kutuma sms.
kama simu yako ni NOKIA ORIGINAL --Andika *35*0000# then OK to bar all incoming calls and sms. To undo, type #35*0000# then OK. Kwisha habari yake. Hata ukikaa mwaka, hakuna simu au toka kwa vibaka wako itaingia. Kama ya Kichina, hesabu maumivi, sina namna ya kukusaidia.
Hapo vipi?
Just simple,weka call barring ya hizo vimeo then mpe simu kwisha kazi,au divert calls to another number ya hivo vimeo!
Kubali tu mpeane,inawezekana anakutisha tu na unaweza ukakuta simu yake ndo balaa zaidi
Easy sana hiyo mkuu. Block miito yote inayokuja kwenye simu yako, ila utakubali kuwa nje na mawasiliano maana hakuna simu wala msg itakayoingia ila wewe utaweza kupiga na kutuma sms.

kama simu yako ni NOKIA ORIGINAL --Andika *35*0000# then OK to bar all incoming calls and sms. To undo, type #35*0000# then OK. Kwisha habari yake. Hata ukikaa mwaka, hakuna simu au toka kwa vibaka wako itaingia. Kama ya Kichina, hesabu maumivi, sina namna ya kukusaidia.

Hapo vipi?

Mmmh! Naona mwafundishana ku-cheat, siyo deal bana.