ushauri huu nimeupendaBro asante sana kwa kunichekesha. Tangu asubuhi nilikuwa busy sana sijafurahi hata mara moja. Kwa mara ya kwanza naingia humu nimepata nafasi ya kucheka. Copy harakaharaka namba za simu za vimeo wako, wajulishe yanayojiri ili wasikupigie wala kukutumia message wiki hii. Halafu kubali mbadilishane. Au una vimeo vingi kiasi cha kutojua namba zao zote?
Bro asante sana kwa kunichekesha. Tangu asubuhi nilikuwa busy sana sijafurahi hata mara moja. Kwa mara ya kwanza naingia humu nimepata nafasi ya kucheka. Copy harakaharaka namba za simu za vimeo wako, wajulishe yanayojiri ili wasikupigie wala kukutumia message wiki hii. Halafu kubali mbadilishane. Au una vimeo vingi kiasi cha kutojua namba zao zote?
mmmhh kuna wenginewata txt makusudi kugombana tu a mkeo au kumjulisha hayuko peke yakehata hao Vimeo hawataki kujiona second hand mmmhhhhhh
Habari zenu wanaJF. Wife leo kapigiwa simu, unajua mambo ya wivu nikauliza aliyepiga simu ni nani ? Akasema kwa kuwa nataka kujua aliyepiga simu tubadilishane simu (pamoja na line zake) yeye achukue ya kwangu na mimi nichukue ya kwake kwa muda wa wiki moja. Ameng'ang'ania hilo swala na mimi nina vimeo kwenye simu yangu yaani sijui la kufanya kujiepusha na hili. Msaada wa mawazo unahitajika kuninasua katika hili.