Mpaka ubalozi na wanadiplomasia kuingilia utaHapana Mkuu, kuna ubalozi na wanadiplomasia.Nimehakikishiwa msaada endapo mambo yatabuma.
Nafikiri amejitolea kwa hayo yote,kwani anachotaka yeye ni mkwanja tu,I wish him all the best kwa yote atakayokutana nayo ili wengine wajifunze kutoka kwake.Lazima wakufire hilo nenda ukilijua kabisa .
Lazima wakufire hilo nenda ukilijua kabisa .
Tatizo bongo mnachukulia 'kufumua marinda' kama adhabu ya udhalilishaji ndio maana mna lazimisha,...wao wanachukulia kama sexual orientation,,,kama starehe na hawalazimishani so be informed.Mpaka ubalozi na wanadiplomasia kuingilia uta
Nafikiri amejitolea kwa hayo yote,kwani anachotaka yeye ni mkwanja tu,I wish him all the best kwa yote atakayokutana nayo ili wengine wajifunze kutoka kwake.
Thnx for that information Chuda, all the best in your new career!Tatizo bongo mnachukulia 'kufumua marinda' kama adhabu ya udhalilishaji ndio maana mna lazimisha,...wao wanachukulia kama sexual orientation,,,kama starehe na hawalazimishani so be informed.
Nihivi majuzi tu
Hongela myWasalam wana wa jukwaa.
Ndugu zangu yapata siku kadhaa sasa nawaya waya nisijue la kufanya. Kwa muda mrefu nimeishi bila kazi ya maana zaidi ya kubeba zege kwenye makampuni ya ujenzi ya kichina yenye manyanyaso lukuki.
Elimu yangu ni kidato cha sita, sikuweza kuendelea zaidi kwa sababu za kiuchumi. Sasa katika kuperuzi peruzi kwenye mitandao nimekutana na site nyingi zinazojihusisha na utengenezaji wa hizi filamu za kikubwa(XXX VIDEOS) zikihitaji wahusika (male perfomers) wa kushiriki katika utengenezaji wa hizo filamu.
Basi nikaona kama ni moja ya njia ya kutokea, nikajaza viambata vilivyokuwepo kwenye sites zao halafu nikatuma, nimetuma kwenye makampuni nane.Kampuni tatu zimenikubali, moja wamenikataa sababu ya umri kuwa chini ya miaka 30, na mengine hayajajibu.
Kuna kampuni walionikubali moja kwa moja na tuliwasiliana kwa njia kadhaa zikiwemo za e-mail na WhatsApp, wapo kwenye nchi yenye ubalozi wao hapa TZ, waliniambia nikiwa tayari niende kwenye ubalozi wao ili kushuulikia taratibu zote za usafiri na gharama zote ni juu yao.Nilipofika ubalozini nilikuta kweli hao jamaa wapo serious kwa sababu taarifa zangu zilikuwepo kwenye ofisi za balozi. Vipimo vya afya, majaribio, malipo na mkataba ndizo hatua zinazofuata.
Wadau wa MMU, kiukweli nakuwa na kusitasita juu ya kubong'oa wanawake mbele ya kamera na madirector kibao lakini nikipiga picha haya maisha magumu ninayopitia naona kama hii ni last chance adimu ya kutokea.
Naombeni muwe watulivu na kunipa michango yenu ya kimawazo juu ya hili jambo nami nijue pakuchagua.
Asante my.Hongela my
Kweli kabisa Mkuu.Kila mwaka wanaomaliza vyuo ni wengi kuliko wanaoachia ngazi.Watuache siye tulianzishe mbele kwa mbele.Ata hao wazungu wanaotoa misaada ni kodi za wauza mbunye walioruhusiwa kisheria.Nihivi majuzi tu
Ujerumani wametangaza kupunguza kiasi cha wasio na ajira
Kwamba toka Uhuru wa ujerumani mpaka Leo hii bado wapo watu hawana ajira
Wewe unaesubiria serikali hii ya miaka 50 Itoe ajira kila mtanzania tukupe pole
So aje tu kukufumua Linda?Nihivi majuzi tu
Ujerumani wametangaza kupunguza kiasi cha wasio na ajira
Kwamba toka Uhuru wa ujerumani mpaka Leo hii bado wapo watu hawana ajira
Wewe unaesubiria serikali hii ya miaka 50 Itoe ajira kila mtanzania tukupe pole
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] live it, love itkuwa makin wacje wakala mtandao pendwa
Dah Mkuu umasikini ni Mkubwa sana.Watu wananishauri nikalime wakati hakuna soko la kuuza mavuno, juzi watu tumemwaga nyanya nyingi tu kwa kukosa wateja.Nimesikitika sana. We Africans tuna-suffer sana economically. Ni matokeo ya ubinafsi wa watu weusi. Nimetoka kusoma articles 3 leo. Moja inasema wazungu wangeleta mapinduzi makubwa afrika kuliko waafrika wenyewe(kushindwa kwa viongozi wetu), ya pili namna gani waafrika tunavyoteseka kiuchumi duniani kote kutokana tu na kuponzwa kwetu na ngozi yetu.
Lakini pia nimependa mdau anavyojibu. Yuko well matured. Inaonekana ni maisha tu ndo hivyo tena yamelala yombo.
[emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]mkuu moto wa kuzimu unakuhusu
Hatukufoji usahili Mkuu wangu, madawa sii lazima.Kila kitu ni risk linapokuja swala la pesa.Mipango yote ikikamilika uwe tayari kwenda chekiwa kama unaweza shughuli yenyewe na kama huna kibamia. Elewa madawa ya kuongeza nguvu dushe iwe strong ni sehemu ya mlo wako. USIENDE. Kuna mambo mengi zaidi ya hizo pesa.
Bado kuna fursa nyingi za maisha ambazo ni bora. Uzuri wa kazi uifanye kwa moyo mweupe na kwa kuridhika sio mradi tu unaingiza kipato. Hiyo uliyoipata haitakufaa mkuu sababu dhamira yako inaonekena kuwa bado ipo hai. Ni yule tu ambaye dhamira yake imekufa ndiye anayeweza kufanya kazi kama hii.Ata sasa hivi nafasi ya kushahuriwa ipo Mkuu, bado sijafanya final decision.
Asante Mkuu kwa ushauri wako.Bado kuna fursa nyingi za maisha ambazo ni bora. Uzuri wa kazi uifanye kwa moyo mweupe na kwa kuridhika sio mradi tu unaingiza kipato. Hiyo uliyoipata haitakufaa mkuu sababu dhamira yako inaonekena kuwa bado ipo hai. Ni yule tu ambaye dhamira yake imekufa ndiye anayeweza kufanya kazi kama hii.
na ww ndo unaukimbilia[emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]