Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

Kumar zinafanyiwa sterilization kabla ya kuanza movie, zinasafishwa na dawa na kuwa safi.Kuna ugumu utajitokeza lakini ni jambo la kawaida kwa kila kazi kuwa ngumu.
[emoji23] [emoji23] ushacheza nn mbn kila k2 unajua
 
Nenda tu.. Mbona kuna demu ni Mtanzania anacheza hizo picha ila Watanzania wengi tu hawamjui..

Na ni maarufu tu ashashindaga awards kama mbili za best performer..
Anaitwa nani mkuu nitonye kwa pm nikamsake huko[emoji2]
 
Mkuu naomba niulize hivi anezini bila kuonekana na anezini kwa kuonekana zote si dhambi Au kuna ambayo kubwa na nyingine ndogo. ?????
 
Umetuma maombi makampuni 10, umeona maisha ni magumu na hapo ndo pa kutokea ssa hata tukikushauri haitasaidia sabbu ushafanya maamuzi mwenyewe. Majibu ya maswali yako unayo mwenyewe.
 
Mkuu basi msamehe jamaa maana umempa vifungu vya kutosha
 
Umetuma maombi makampuni 10, umeona maisha ni magumu na hapo ndo pa kutokea ssa hata tukikushauri haitasaidia sabbu ushafanya maamuzi mwenyewe. Majibu ya maswali yako unayo mwenyewe.
Siyo Makampuni 10, ni 8....Hata hivyo nimeamua niende.
 
Kutengeneza kideo kimoja ni siku 14, kila siku nitakuwa napiga dola 460 baada ya makato ya bili zote.
kwahiyo video moja inachukua siku 14 mpaka kukamilika na katika hizo siku 14 kila siku utakua unaingiza huo mkwanja?
 
kwahiyo video moja inachukua siku 14 mpaka kukamilika na katika hizo siku 14 kila siku utakua unaingiza huo mkwanja?
Ndio Mkuu wangu, Kideo kimoja chaweza kwenda kwanzia siku 14 hadi 16,...na huo ndo mkwanja wa kuanzia.
 
Nenda tu.. Mbona kuna demu ni Mtanzania anacheza hizo picha ila Watanzania wengi tu hawamjui..

Na ni maarufu tu ashashindaga awards kama mbili za best performer..
mtaje,namjua mzanzibar ila nmemsahau jina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…