Habari zenu wana jf.mm nina dogo langu ambaye amehitimu darasa la saba jana ila anadai mtihani ulikuwa kawaida.je kweli?
mtihani wa hisabati ulikua mgumu jamani swali la 20 lol....
Hongera kwa kuhitimu drs la 7 ongeza juhudi katika masomo ya pre form one na punguza kutembelea humu.
jtatu naanza pale mapambano.
komaa dogo maisha ni zaidi ya huo ugali wa shikamoo, umenielewa mtoto mzuri?
sawa dada...
mimi ni babako wa kambo.
mama aliniambia baba angu wa kambo sio ridhiki ndio wewe...?
Kamuulize vizuri unajua na yeye alikuwa nao wengi mziki wangu anaujua.
mama aliniambia baba angu wa kambo sio ridhiki ndio wewe...?
sawa dada...