wamelileta hili wakati muafaka kabisa, hii ni sababu tosha kabisa ya kuwaondoa hawa wehu.
Jana mheshimiwa Rais wa Tanzania alizindua Sera mpya ya Elimu ambapo kati ya mengi yaliyomo ndani ya sera hiyo ni kufutwa kwa mtihani wa Darasa la Saba na Elimu ya Msingi kuongezwa hadi Kidato cha Nne.
=========
Source: The Citizen
duh!
Kwa hiyo form 5 na 6 inakuwaje? Kwenye kiswahili, binafsi siungi mkono! Hatuna vitendea kazi bado vya kufundishia kiswahili mpaka chuo. China, korea, uk, usa walifanikiwa kwenye lugha zao mama kama lugha za kufundishia sababu walikuwa na rasilimali ya kutosha, na kikubwa uwezo wa kifedha.
Ila ngoja tuone, tuwe positive!
Mfumo huu wa elimu unakwenda kuzika elimu! Ccm must go!
hii sera mbona haina mwisho mzuri huko mbele? Kwa maandalizi yepi tulionayo mpaka kuweza kuja na sera hii? Kwa uchumi upi tunaweza kutekeleza sera hii? Kama vitabu tu vya kufundishia leo tunategemea misaada.
Au ndio sera mpito kwa ajili ya oktoba?
Nionavyo mimi tanzania bado hatuna ubavu wa kuja na sera hii.
nchi yetu twataka angalau kila mtu awe na form four ila hatujui matatizo yatayokuja huko baadae
duh hapa kazi ipo maana kiswahili tu chenyewe watu itabidi wakisoma maana pia watanzania wengi hatukifahamu,maneno mengi ya kisayansi yako kwa kiswahili kama yalivyo sidhani kama hapo kitaeleweka kitu dah
Mwl. Sera nyingi za maendeleo katika nchi zinazoendelea, hutengenezwa na mataifa makubwa kupitia taasisi kama WB, na Mashirika yaliyo chini ya mwamvuli wa UN. Mara nyingi huwa ni blueprint kwa maendeleo ya nchi nyingi kwa mfano katika nchi za latini Amerika, Indonesia na hata Afrika nchi kama Angola, Rwanda n.k maendeleo yake yamechagizwa na adoption ya sera hizi.tanzania ndo nchi pekee ambayo imebaki kuwa inaiba sera, na matamko ya nchi nyingine kisha kuja kuipaste kwenye mipango yake. ukitaka nenda fuatilia shwala la BRN utakuta ni copy and paste ya malaysia kilichoondolewa ni jina tu kkwamba replace malaysia with tanzania.
sasa kibaya hawakujua wenzao wanayapikaje haya, ndo mana BRN imebaki kuwa bomu litakalolipuka manake wamekula mahela ya kutosha na hakuna kilichofanyika mpaka sasa.
hii sera ya elimu iliyokopiwa itatutia aibu very soon
Jana mheshimiwa Rais wa Tanzania alizindua Sera mpya ya Elimu ambapo kati ya mengi yaliyomo ndani ya sera hiyo ni kufutwa kwa mtihani wa Darasa la Saba na Elimu ya Msingi kuongezwa hadi Kidato cha Nne.
=========
Source: The Citizen
This is OPENLY PROPAGANDA OF POLITICS with lack of Good Strategic Plans.Jana mheshimiwa Rais wa Tanzania alizindua Sera mpya ya Elimu ambapo kati ya mengi yaliyomo ndani ya sera hiyo ni kufutwa kwa mtihani wa Darasa la Saba na Elimu ya Msingi kuongezwa hadi Kidato cha Nne.
=========
Source: The Citizen