mimi nachoombo wafanyakazi wenye hisia za kidini kama walivyo sasa dk ndalichako na kundi lao waondoshwekufuatia shutuma wa baadhi ya madhehebu/dini kwamba watoto wao/dada/kaka/ndugu zao kwamba wamefelishwa au hakutendewa haki na necta, basi ni vizuri hii mitahi au somo lote kwa jumla likaondolewa katika sylabus yetu, kwa maana kila dhehebu litakuwa lina hisia kwamba wafuasiwa wao wameonewa kwa hili au lile. Hivyo basi ili wote wawe katika usawa ni mitahani inayo fanywa na makundi yote ndio yaingie kwenye sylabus ya taifa, hayo mengineyo kila dhehebu lifuate huko huko kwenye mamlaka zao.
Mimi nadhani topic hii haijawa wazi vizuri. Mpaka sasa hivi sijajua ni msingi upi unaotumika kuandaa mtihani wa dini. Labda tungepata sababu za wale waliokuwa wameamua kuwepo mitihani hiyo watuambie lengo lilikuwa nini. Kuna wakati nilishawahi kusikia mahali kuwa wale wanafunzi wanaochukua PHD huwa wanatakiwa wasome pia Biblia(Christians Religion book) kutokana na sababu kuwa kitabu hicho kina filosofia ya hali ya juu. Hebu wataalamu kama mpo mtupe ufafanuzi katika hili.
majiuliza sisi wote tumesoma shule, ua labda ilikuwa zamani...sioni mahusiani ya kufaulu na dini? nadhani ni shule zenyewe zinakosa viongozi wa kuzisimania..... sasa baraza la mitihani kosa lao nini?
Duh mkuu PHD ya nini inahitaji qualification hiyo..????!!! sijapata kusikia hii nasikia kutoka kwako
mimi nachoombo wafanyakazi wenye hisia za kidini kama walivyo sasa dk ndalichako na kundi lao waondoshwe
somo lenyewe lisiondolewe bali lisiwe sehemu ya kupata wastani wa kufaulu ili kuongeza division.
umenena sana mkuu sioni logic ya kuweka mitihani ya dini kwenye necta then what next kama mtu akifaulu huo mtihani wa dini? mambo ya dini yaachwe kwenye dini binafsi watu wabanane kwenye masomo ya ukweli kama maths etc sio kupata point za mezani hapo hakutakuwa na longolongo.
Dini haisabiki kwenye division
Wakati wetu Mitihani ya DINI haikuwa kwenye NECTA ni Utawala wa Rais gani walianza kuweka DINI kwenye Mitihani ya NECTA?
Hapo ni Makosa; Kama Unataka kusoma Dini unakwenda Moja kwa Moja Shule za Dini... ambazo hazijihusishi na Serikali