Mtihani wa kesho huu hapa!!

Muungwana unaharibiwa ndugu yangu kila sehemu sasa watengaji wako wameanguka
 
If true, if only true - this would be one of the biggest stunts JF has ever pulled!!!!!

Kigarama, since leo ni jumapili, kama huna scanner, wewe piga picha ukurasa wa mbele tu... siye wala hatuhitaji sana maswali ya ndani.... bali evidence ya paper number tu.

Piga picha kisha tuma kwa email kwa Invisible kama alivyoweka hapo juu.

Heads must roll kama hii ni kweli..... a 21st century stunning scandal!!!!
 
Kama ni kweli hii inatisha kweli kweli. Mtumieni JK hayo maswali, ubabaishaji umezidi. Mrudisheni prof. Mmari baraza la mitihani hata kama ni kwa part time ili aokoe jahazi.

Taifa kweli liko njia panda.
Hivi si 1978 'pepa' ilivuja?
Na si 1998 ikavuja hivihivi?
Pia na 2008 yanakuwa yaleyale?

What's wrong with 8 then?
 

kama nilivyosema aliyenipa huu na source zangu nyingine zinaonyesha kwamba huu ni aina ya ule niliopewa kabla. Mikoa minne na watu sita tofauti inaniwia vigumu kutokuamini kwamba huu siyo wenyewe.

Tatizo hakuna uwezekano wa kuscan kwani leo ni J'pili na hakuna mahali ambapo ni safe kwangu kufanya hivyo. nasikitika kwa hilo!
 

Mimi nina mashaka kama mtihani huu ndio wenyewe. Any way, ukweli utajulikana kesho baada ya muda wa kufanya mtihani kumalizika.
 
Duh,siku hizi hawafuati ile format tena? Na kama wali-change wanafunzi waliarifiwa au kazi kuvuruga exaination format kiholela tu?

......toka lilipoingia lile li-Mungai.........elimu yetu imekuwa holela holela
 
......toka lilipoingia lile li-Mungai.........elimu yetu imekuwa holela holela

Kweli kabisa Ogah; akaondoa michezo, akapangua masomo .... yaani kila kitu kikawa "ndiyo sivyo"
 
wewe nchi yako si marekani labda hiyo haijaoza!si ndiyo inayokupa mkate wa kila siku au?

First Lady, jaribu basi kuwa unasikiliza taarab walau kidogo.... kufanya hivyo kutakupa nyezo ya kufumbua mafumbo mengi sana yaandikwayo hapa JF ndugu.

Unisamehe, nimeandika kwasababu nimeona post zako kama mbili tatu hivi umezijibu at a face value hali kilichomaanishwa kikiwa sivyo. Ni mawaidha tu, ahsante.
 
Hivi si 1978 'pepa' ilivuja?
Na si 1998 ikavuja hivihivi?
Pia na 2008 yanakuwa yaleyale?

What's wrong with 8 then?

Mkuu Invisible paper linavuja kila mwaka, mimi nimesoma vijijini sana, baada ya kumaliza paper na kwenda home nakutana na wenzangu waliosoma town wananisimulia namna walivyopata paper hiyo ni form IV ya mwaka usioishia na 8. Nikiwa form V mtihani wa form six hasa Civics ulikuwa nje nje hata mimi niliona wakati si mtahiniwa, mwaka hauishii 8. Nikiwa nafanya mtihani wa form VI nilikataa kusolve paper siku moja kabla ya mtihani (maani dini yangu hairuhusu wizi), wanafunzi wenzangu walisolve paper za biology na physics maka hauishii 8. katika hali hii niliyoiona mimi mwenyewe ninaamini paper linavuja kila mwaka.

Mkuu, kumbuka mwaka jana watu wamepiga kelele sana juu ya suala hili na Serikali akaahidi kwamba paper halitavuja tena.Kumbe hamna kitu bana!
 
Kigarama kama uko dar es salaam wilaya ya kinondoni au ilala nijulishe nitakuelekeza kwa kwenda kuscan na utume hapo hapo bure kabisa
 
Duh,ngoja kesho tuone.Hah! Kama itakua hivi au ukiwa huu huu basi kwa nguvu zote nitajitolea kuhakikisha Maghembe na Ndalichako wanaipata fresh.

mmekosea mngeleake hii pepa ..muda mfupi kabla ya mtihani...hapa hamtawapata mmewapa muda wa kutangaza kuahirishwa kwa huu mtihani [kama ni kweli]
 
Ungescan hiyo karatasi halafu uiweke ingependeza sana

Niliamua kufnaya home work baada ya kuthibitishiwa na watahiniwa kwamba mithani yote mitatu niliyoipata kabla (kiswahili,Geography,civics) ilikuwa yenyewe nami nikafikir kama nikiendelea kukaa kimya na huu ukiwa wenyewe nitakuwa siitendei haki nchi yangu.

Aliyenipa mtihani huu ndiye aliyenipa mingine mitatu kabla na alinipa ili niweze kufanya chochote kwa taifa langu. ni kweli hata wa biology ninao nangoje kama kesho watakaoufanya wakisema ni kweli nitakuja nitasubiri mpaka mchana nione ukweli wake.

Nasisitiza kwamba thread hii ni changamoto kwani kama nikisubiri hadi ufanywe kama ukiwa ni wenyewe itakuwa haina maana kwani nitashindwa kuthibitisha kama nimeupata kabla. tusubiri tuone!

Lakini nasisitiza kwamba mimi sichapi mitihani bali huu nimeupata kutoka kwa watu sita tofauti na kutoka mikoa minne tofauti. baada ya kupewa na chanzo changu cha uhakika.
 
Kigarama kama uko dar es salaam wilaya ya kinondoni au ilala nijulishe nitakuelekeza kwa kwenda kuscan na utume hapo hapo bure kabisa

Kigarama kuwa makini huyu bwana kumbu kumbu zinaonyesha alikamatisha wanaJF polisi .....
 

Nini taarab give me a break!sema jingine na si taarabu!niambie basi wewe mfumbuzi Mwanakijiji alimaanisha nini?
 
Kigarama kama uko dar es salaam wilaya ya kinondoni au ilala nijulishe nitakuelekeza kwa kwenda kuscan na utume hapo hapo bure kabisa

teh teh teh,thanks for yor post bro.

kwani huyu mkuu kasema tatizo ni hela? Sema unataka kumjua Kigarama bwana acha hizo
 
Aliyepost anaweza ku-scan hiyo paper na kuweka hapa... tutamrudishia fedha yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…