wewe unatania wake za watu steveb ohooo
MKuu Masatu
Nadhani kuwa na shule nyingi si sababu ya mitihani kuibiwa....shida ni rushwa ilishamili kila sehemu, wenye shule binafsi huiba mitihani ili watoto wafaulu zaidi ili wazazi waendelee kupeleka watoto huko. Tukiamua tunaweza kabisa kuondoa tatizo hili, kwanini mitihani isipelekwe kwenye mfumo wa Kibenki? Ninaamini Bank ni salama zaidi. Kwa Kuanzia Dr Ndalichako na Prof Maghembe lazima wachukue accountable responsibility kwa kuanzia na wale wafanyakazi wengine wanahusika kwa njia moja ama nyingine wachukuliwe hatua.
Sijui tunajenga taifa la aina gani? Kuna watu wanaiba mitahani ya darasa la saba, form four, six na hata ya chuo kikuu kuna watu wanapeta na kupata degree fake...kuna ushahidi university exams huvuja SUA, UD, MU, IFM, MUHAS huenda ni sababu ya kukutana na graduates wa ajabu sana siku hizi
Hebu anza kutaja moja baada ya nyingine. Anza na jina halafu endelea.
asante sana ubarikiwe
Ushi,
Tatizo sio tu kuwa na shule nyingi bali ni jiografia ya baadhi ya maeneo hususan ya remote areas.
Idea ya kutumia bank system ni nzuri lakini tatizo linarudi pale pale kwa hizo remote areas hakuna hata tawi la benki!. Tawi la benki lipo wilaya na utakuta kuenda huko kutoka wilayani ni mbinde. Nitakupa mfno niliwahi kufika mahala kunaitwa Mbwera ( Rufiji delta) kutoka makao makuu ya wilaya (Utete) mpaka huko ni mwendo mrefu lakini baya zaidi usafiri hakuna na inafika mahala inabidi mpande mitumbwi kufika kwenye visiwa vidogo vidogo awali nilikataa baada ya kusihiwa sana na wenye hatimae nikapanda nilikuwa roho juu njia nzima. Wenyeji wanasema huko hajawahi kutembelea kiongozi yeyote yule wa kitaifa zaidi ya DC na tena kila baada ya miaka 5 au zaidi.
---Masatu, ahsante kwa mfano, lakini je huko nako kwenye kuvuka mtumbwi kulikuwa na shule ya sekondari (kidato cha nne)??!!Ushi,
Tatizo sio tu kuwa na shule nyingi bali ni jiografia ya baadhi ya maeneo hususan ya remote areas.
Idea ya kutumia bank system ni nzuri lakini tatizo linarudi pale pale kwa hizo remote areas hakuna hata tawi la benki!. Tawi la benki lipo wilaya na utakuta kuenda huko kutoka wilayani ni mbinde. Nitakupa mfno niliwahi kufika mahala kunaitwa Mbwera ( Rufiji delta) kutoka makao makuu ya wilaya (Utete) mpaka huko ni mwendo mrefu lakini baya zaidi usafiri hakuna na inafika mahala inabidi mpande mitumbwi kufika kwenye visiwa vidogo vidogo awali nilikataa baada ya kusihiwa sana na wenye hatimae nikapanda nilikuwa roho juu njia nzima. Wenyeji wanasema huko hajawahi kutembelea kiongozi yeyote yule wa kitaifa zaidi ya DC na tena kila baada ya miaka 5 au zaidi.
---Masatu, ahsante kwa mfano, lakini je huko nako kwenye kuvuka mtumbwi kulikuwa na shule ya sekondari (kidato cha nne)??!!
---Ahsante sana kushukuru. Ila naomba tafadhali unijulishe ni nani huyo anibariki?
---Maana baraka ni thawabu toka kwa watu na miungu wenye kutofautiana.
Unataka attention sio,FYI iam not from pwani i know what u like from rijalis......i'm sorry buddyMama yoyo umeshaamka duh
1. Why did British adopt indirect rule system in their colonies?
2. Explain the factor of the rise and consolidation of the centralized states in different African societies
3. how did the outbreak of World War I and world War II intensify the rise of nationalism in Africa
4. Describe various methods used in the establishment of colonial economy
5. explain the factor of exploitation in mode of production in Africa around 15th Century
6. Political instability is inevitable to Africa. Verify this statement and measures taken to prevent them
7. Factors of abolition of slave trade
8. how did USA support the decolonization of African colonies
9. In which way colonial education destroy African culture
10. Effective mass education maintained resistance against colonialism .Discuss
11. Discuss form and the motive of African nations reaction against colonial occupation
Unataka attention sio,FYI iam not from pwani i know what u like from rijalis......i'm sorry buddy
Huyo Shy anatafuta rijalis kuna kitu anatakaMie natoka Pemba, nielekeze kunani hapa? rijali? Halo?
Huko mkuu SteveD wakati nilipoenda hakukuwa na shule ya sekondari hata moja. Lakini kama nilivyosema hapo awali uanzishwaji wa sekondari za kata naamini kutakuwa na sekondari walau 2 hivi sasa kwani kuna kata 2 kule ingawa watakuwa landa kwenye form 2 au 3 sasa lakini ndio wanakaribia je mwakani wakifika tunafanyaje?
Shukrani sana. naomba kujua tutajuaje kama ni wenyewe huu hapo kesho. Kwa sababu wizara inasema papers zinazombaa ni feki. Naomba ikiwa ni yenyewe mtuarifu please. This will be the reason to cancell mtihani wote na hao jamaa wakubali kujiuzulu
Huyo Shy anatafuta rijalis kuna kitu anataka