Miafrika Ndivyo Tulivyo ukiwemo wewe
Hiyo hoja niliyoi-bold imenigusa sana.
Ama kweli sisi watanzania ni mbumbumbu na tuna akili za kuku..yaani hatuoni mbali kabisa.. Sasa mavyeti na ma degree mshenzi yetu yatakapokuwa boycotted sijui tutakuwa wageni wa nani.. Hakika tumo ndani ya very strong vicious cycle
Masikini nchi yetu..
Mtihani uliouweka sio uliofanywa!
Nadhani pamoja na kuwa kwa hakika ndani ya Baraza kuna watu waliovujisha, lakini binafsi naona hatua zinazochukuliwa kwa sasa ni sawa. Wezi wanauza paper, wateja wao wanakuta mtihani tofauti! Hatimaye wataonekena ni matapeli, na wazazi wataelewa watoto wao lazima wasome tu!!!
Kigarama una comments gani kuhusu mtihani uliotuwekea na uliofanyika???

Kwahiyo njia nzuri ni kila anayeona mtihani uliovuja ni ku post JF ili ubadilishwe. Itafika mahali kama hakuna demand hata hao wanaovujisha wataacha kufanya hivyo.
Kwahiyo njia nzuri ni kila anayeona mtihani uliovuja ni ku post JF ili ubadilishwe. Itafika mahali kama hakuna demand hata hao wanaovujisha wataacha kufanya hivyo.
......toka lilipoingia lile li-Mungai.........elimu yetu imekuwa holela holela
Si kweli kwamba mtihani ulibadilishwa kwa sababu uliandikwa humu. Sehemu kama Nkansi, na Kibondo haziwezi kufikiwa na paper zilizobadilishwa haraka. Pamoja na kulaumu, lazima tuone kuwa ndani ya Baraza kuna watu wanafanya kazi kubwa, na wanapambana na wenzao wachache (huenda ni mmoja tu) walio walafi na wakosefu wa uadilifu kuhakikisha kuwa Wanunuao mitihani iliyoibwa na kuuzwa hawafaidiki.
Nilitegemea sana kujua kama ule mtihani uliowekwa hapa ndio kweli ulifanyika. Hakuna feedback?
Mwanaukweli
Mtihani uliouweka sio uliofanywa!
duuuh, NN naona kaingiziwa na "kingi" mwingine!! hapo sasa.... and the list keeps on growing!
Si kweli kwamba mtihani ulibadilishwa kwa sababu uliandikwa humu. Sehemu kama Nkansi, na Kibondo haziwezi kufikiwa na paper zilizobadilishwa haraka. Pamoja na kulaumu, lazima tuone kuwa ndani ya Baraza kuna watu wanafanya kazi kubwa, na wanapambana na wenzao wachache (huenda ni mmoja tu) walio walafi na wakosefu wa uadilifu kuhakikisha kuwa Wanunuao mitihani iliyoibwa na kuuzwa hawafaidiki.
.........hivi unaishi ulimwengu upi mwenzetu wewe??
Naishi Tanzania vijijini, na ninaelewa yanayoendelea vizuri sana, na pia najaribu kupima mambo kwa undani, si kudaka yanayobandikwa tu (I reflect critically)!!!
The point is: Those who put their trust in the leakages will be the losers!!! For sure.
1.......ooohh great!!.......kwa mtaji huo huo.......then inawezekana kabisa mitihani ilisambazwa usiku huo huo......if you know what i mean
2. "]........wenzako tulishapiga bao......tena kwa chest.....ndio maana mtihani ukabadilishwa........na hivyo sisi hatujashindwa.........
.....yaani kuja kwako hapa na kusema yale maswali hayakuwa kweli na kwamba mitihani haiwezi kusambazwa Nkasi na Kibondo kwa haraka hivyo ndio ku-REFLECT CRITICALLY?.............ndio kupima mambo kwa undani!!!!.........next time kuwa na adabu kidogo.....kwenye arguments zako mkuu...........
..............kama umekuja hapa ku-clear uozo wa akina Dr Ndalichako na Waziri Maghembe..........you will be the loser!!!!......kwi kwi kwi kwi