Kuurudisha mtihani huo ni jambo la busara. Hi itawafanya wanafunzi kuwa makini na kuzingatia masomo.
Kwa hali ilivyo sasa, wanafunzi wengi huanza kuzingatia masomo pindi wakifika kidato cha IV na ndipo hujikuta wamechelewa.
Kwa Mtihani hu wa Kidato cha II, Serikali imewapa changamoto wanafunzi kwamba sasa hakuna kulala.
TAHADHARI:
Serikali isimamie Mitihani ipime KWELI uelewa wa wanafunzi na si kukariri. Wala lengo lisiwe "mradi liende" kutimiza malengo ya kisiasa.
Siasa ya Tanzania inadumaza Elimu.