Naomba kuuliza, je kuna maandalizi yaliyofanyika mpaka sasa ili kuhakikisha huo mtihani unafanyika bila zengwe?
Ninaposema maandalizi namaanisha ratiba, walimu kutuma maswali n.k. Hata katika waraka uliotolewa hivi karibuni hauonyeshi mtihani wa kidato cha Pili utafanyika lini, je huo si Mtihani wa Taifa?