Jolebatawi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 549
- 230
Wadau kabla ya bunge la katiba kuahirishwa jioni hii alikaribishwa lipumba akaongea hadi mwisho sikumwelewa,akafuatia mbowe naye cha ajabu tofauti na nilivyomzoea kwa kutoa hotuba kali zenye hoja na zinazoshawishi lakini kwa mara ya kwanza mbowe ametoa hotuba mwanzo hadi mwisho sijamuelewa.Lakini kwa watu tuliosoma saikolojia niligundua kuna kitu kiko nyuma ya pazia ambacho hawa watu akiwemo mbatia hawajakisema. WITO WANGU KWA MBOWE ; Kwanza naomba utambue watanzania wengi kwa sasa tunaitegemea chadema kama ndiyo mkombozi wetu kwa haki zinazotaka kuporwa na chama tawala,hivyo kuwa makini sana hata kwenye hivyo vikao vya mashauriano,haingii akilin CCM wanawakwamisha kwenye hyo kamati kila cku zoez linaahirishwa eti nanyi leo bado mnasapoti kuahirisha,usitake kuwaamini sana lipumba na mbatia bado sina imani nao sana kwenye misimamo thabiti,unaweza ukawa unazugwa kidizaini huku wakiwa na lengo la kuivuruga CHADEMA PIA!Kwa leo ni hayo tu! MODS HUU UZI UNAJITEGEMEA NA UNAMHUSU MBOWE HIVYO USIUNGANISHWE