Mtihani wa maarifa

Matti

Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
94
Reaction score
5
Mtihani wa maarifa ya dunia:

1.Kama hela haioti kwenye miti, kwanini bank zina matawi?

2.Kwanini gundi haigandi kwenye chupa yake?

3.Kama tunatakiwa tusi-drive wakati tumekunywa, kwa nini bar kuna parking?

4.Kama neno abbreviation linamaanisha ufupisho, kwa nini lenyewe ni refu hivyo?

5.Kama tunatakiwa kufanya sex ndani ya ndoa tu, Kwanini tunabalehe kabla ya kufunga ndoa?


Nipe majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…