Zuia Sayayi
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 841
- 134
Si unajua mrisha wapa kura CCM.
my friend if you think education is expensive try ignorance.Jamani Can u imagine eti PESA ya mtihan wa TAIFA (NECTA) form 4 imerudishwa kwa hiyo mzazi ataendelea kumlipia mtoto wake mtihan huo Tsh. 35000/=
yaan kiufupi mwananchi wa kawaida anaendelea kurundikiwa mzigo richa ya kwamba tayari anamzigo mwingine wa MFUMUKO WA BEI
maneno haya juu yanakamilisha neno TANZANIA, du mpaka najuta kwanini nilizaliwa hapa.
my friend if you think education is expensive try ignorance.
Correct! Wewe hufahamu kuwa bure alikufa zamani?