Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,006 Reaction score 13,281 Feb 19, 2015 #1 Huwa unafanyika mwezi wa pili hivi, sijajua kwa mwaka huu unafanyika lini? Any hints!? Jamal Malinzi Mphamvu Amavubi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Huwa unafanyika mwezi wa pili hivi, sijajua kwa mwaka huu unafanyika lini? Any hints!? Jamal Malinzi Mphamvu Amavubi
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,319 Feb 19, 2015 #2 Mkuu Deo Corleone, taratibu za TFF zinaongozwa na taratibu mama za FIFA za shughuli za uwakala. Mara ya mwisho nilikuwa na guideline ya mwaka 2008. Hebu isome kwanza upate mwanga kabla watu wa TFF hawajaja kukupa mwongozo kamili kibongobongo. View attachment players_agents_regulations_2008.pdf Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mkuu Deo Corleone, taratibu za TFF zinaongozwa na taratibu mama za FIFA za shughuli za uwakala. Mara ya mwisho nilikuwa na guideline ya mwaka 2008. Hebu isome kwanza upate mwanga kabla watu wa TFF hawajaja kukupa mwongozo kamili kibongobongo. View attachment players_agents_regulations_2008.pdf
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,006 Reaction score 13,281 Feb 19, 2015 Thread starter #3 Hiyo document ninayo,nilitaka kufahamu mtihani wao ni lini
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,319 Feb 19, 2015 #4 Deo Corleone said: Hiyo document ninayo,nilitaka kufahamu mtihani wao ni lini Click to expand... Hapo sina uhakika, lakini unafanyika kila mwaka. dfk-agent anaweza kuwa na maelezo zaidi! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Deo Corleone said: Hiyo document ninayo,nilitaka kufahamu mtihani wao ni lini Click to expand... Hapo sina uhakika, lakini unafanyika kila mwaka. dfk-agent anaweza kuwa na maelezo zaidi!
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,258 Feb 21, 2015 #5 no idea, nitacheki na TFF