Mtihani, zawadi ya krismasi..!

...wow...me luv ur choice....vipi hii...? ...toka kwa Estee Lauder? 30ml inakula £225.... lazima itakuwa bomba kuliko ile yenye manukato ya Tuberose Gardenia...., au Amber Ylang Ylang...

Marc Jacob Daisy ndio taste yake kwa sasa...mnh 🙁
 
wanasheherekea pamoja. Kula na kunywa, story, kuangalia movie pamoja then kila mtu anarudi alipotoka.

...lol, sithubutu na ki winter hiki!

Fide na Husy, hiki kisiki cha mpingo, kuking'oa kishindo.

Soulmate Laaziz, naomba nikupokee koti, pole kwa kazi! Nkupe juice au kahawa mpenzi? !

Ndo kwaaaaanza asubuhi!

soulmate powa roho,....yampito tu haya, kama kutafuna bigijii vile...

Yep! shem njoo tutabanana hapa hapa kwenye ki studio flat, ukichenji nguo nitafumba macho

lol...haya sasa, ushaanza kumtia tena majaribuni shem wako...aarrghh
 
...wow...me luv ur choice....vipi hii...? ...toka kwa Estee Lauder? 30ml inakula £225.... lazima itakuwa bomba kuliko ile yenye manukato ya Tuberose Gardenia...., au Amber Ylang Ylang...

Marc Jacob Daisy ndio taste yake kwa sasa...mnh 🙁
waooh hapo nimekubali.. Tatizo ni budget.. hii si itakuwa imevuka ile budget yako? (Watu wasije kosa pilau bure).. Halafu zawadi zenye thamani kama hii walah mlengwa lazima ahisi kuna la zaidi unataka.. shaurilo!!
 
Reactions: Mbu

Birthday gal mzima wewe? Una bahati saaana, Juzi tu umepokea mazawadi yoooote yale na tena x-mas ndo hio kesho ndani ya nyumba..... Nije tugawane zawadi?lol
 
Birthday gal mzima wewe? Una bahati saaana, Juzi tu umepokea mazawadi yoooote yale na tena x-mas ndo hio kesho ndani ya nyumba..... Nije tugawane zawadi?lol
Da Asha mi sijambo sana, birthday ilikwisha salama. Yaani Da Asha ni raha iliyoje kuzaliwa December! yaani nina zawadi kem kem usipime.. Karibu uje tufungue zawadi jtatu.. usikonde we wangu.. unaweza kuambulia chochote lol..
 
Mimi bado mdogo sana kwa hili! I thought zawadi ni aina fulani ya "unafiki"!
Mbu umetufunza kitu tuanze sisi na vizazi vyetu kuwapa tuwapendao na jamaa zawadi...tabia hii ni mwanzo wa utu..kujali/kufanya kitu kwa ajili ya wengine..usipotoa hupati....baba enock sikulaumu bali umewakilisha udhaifu (sio wote lkn) wetu (kazopata)..hatujafundishwa mambo haya na tumepotoshwa eti zawadi lazima iwe na hila nyuma yake (takrima ya cc.)..jameni heri ya x-mass na mwaka mpya!
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…