Ticha katangaza test , akatoa masharti;
Ukiandika jibu huruhusiwi kufuta au kukata.
Swali la kwanza,
Taja vyakula VITATU ambavyo ukienda
hotelini umelipiwa utapenda kula
(Marks 1)
WAVULANA wakajaza;
wali, ugali, mihogo.
WADADA wakajaza;
burger, pizza, egg chop.
Swali la pili: Eleza
jinsi ya kupika kila chakula ulichotaja
hapo juu (Marks 99).
Wacha wadada waanze kuhangaika
kukata majibu ya mwanzo!
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]