B][/B]
WACHUNGAJI wa makanisa ya Kipendekoste jijini Dar es Salaa wameunda kamati itakayowashirikisha wajumbe kutoka madhehebu yote, ya kikristu nchini ili kupinga shinikizo la baadhi ya Waislamu nchini la kutaka Serikali kuridhia kuwepo kwa mahakama ya kadhi.
Mbali na kamati hiyo kushughulikia upingaji wa kuwepo mahakama ya kadhi pia baadhi ya wajumbe wameapa kumtetea Mchungaji Christopher Mtikila dhidi ya tuhuma za kutishiwa kukatwa kichwa na baadhi ya watu.
Katika mkutano wao wa wachungaji wa makanisa ya Kipetekoste jijini Dar es Salaam jana, kwenye kanisa la Pentekoste lililoko eneo la Kinondoni baadhi ya wachungaji walijitikeza mbele ya mkutano huo na kuandika majina yao huku wakiapa kuitumikia kamati hiyo kwa moyo wote.
Akizungumza kabla ya maafikiano ya kuundwa kwa kamati hiyo, Mchungaji Christopher Mtikila ambaye alikuwa msemaji wa mkutano huo, alisema kuruhusiwa kuanzishwa kwa mahakama ya kadhi nchini ni kulibadili taifa la Tanzania kuwa la Kiislamu.
Alisema baadhi ya watu tayari wameanza kukaa kimya na huku wakijua wazi kuwepo kwa mahakama hiyo ni namna nyingine ya kuwasilimisha Wakristu kuwa Waislamu.
Alisema tuhuma za kutishiwa kukatwa kichwa zinazotolewa na baadhi ya watu dhidi yake haziogopi na yuko tayari wakati wowote maana wanaotaka kufanya hivyo hawatofanikiwa.
Sitishiki kwa chochote dhidi ya tuhuma hizo maana najua hawawezi kunidhiru, si kwa risasi, mabomu ama kwa sumu. Sikuingia katika siasa kwa njaa bali ni kuliubiri neno la mungu, alisema Mtikila.
Aidha Mchungaji Mtikila aliishutumu Serikali ya rais Kikwete ikiwemo kuishambulia kwa maneno ya kejeli kuhusiana na utendaji wake wa kazi dhidi ya wananchi.
Kwa mujibu ya mapendekezo ya wajumbe katika mkutano huo, kamati hiyo itakuwa na kazi ya kuzunguka kila mkoa kuelimisha wananchi kuhusiana na mchakato mzima wa kuwepo kwa mahakama ya kadhi.
Kamati hiyo itakayo shirikisha viongozi wote wa makanisha pia itakuwa na kazi ya kukusanya fedha zitakazotumika katika kuendesha shuguli za kamati, pamoja na kufanya mazungumzo na Serikali juu ya masuala hayo.
Mapendekezo mengi yaliyokuwa yakitolewa na wajumbe katika mkutano huo yamekubaliana katika wajumbe wa kamati hiyo lazima wawili watoke baraza la maaskofu na wengine wawili kutoka kwa umoja wa makanisa ya kikristu Tanzania.
Mwinsho wa kikao hicho baadhi ya wachungaji walijitokeza na kujiorodhesha majina ili kuwemo katika kamati, ambayo imependekezwa moja ya sifa za kuwa mjumbe ni kujitoa kweli kweli kimaombi na kiroho.
Wajumbe hao wanatarajiwa kukutana tena jumanne ya wiki ijayo kwaajili ya kufanya maandalizi ya mwisho ya kamati kuanza kazi pamoja na kujadili mikakati ya kuanza utekelezaji.
YALE ALIYOYASEMA MTIKILA:
MCHUNGAJI Christopher Mtikila anasema Serikali na baadhi ya viongozi wanampango wa kulibadili taifa la Tanzania kuwa taifa la Kiislamu.
Anadai kwamba rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi ni mjumbe tangu akiwa madarakani na alichaguliwa na taifa la Iran ili ahakikishe anayabadili mataifa ya Tanzania na Afrika Kusini kuwa ya Kiislamu.
Baadhi ya vikundi vya kiislamu vinavyo hubiri neno la mungu kwa dhehebu hilo, vinaruhusiwa kufanya hivyo pasipo mipaka huku vikundi vya kikisto kama biblia nijibu vikizuiwa na kupewa masharti.
Alisema hiyo ni dalili za rais mwenyewe ambaye nae, anamaovu mengi kulilazimisha taifa kuingia katika imani moja za Kiislamu.
Maaskofu bila kujua sasa hivi wanakubali kuitwa Ikulu kisha kuandaliwa ftari, wao wanakula wanafurahi. Hawajui kwamba ni mikakati ya kusilimishwa inafanywa kwao, alisema
Ukimuona mchungaji ameanza kuogopa kukemea maovu kwa kuhofia roho yake basi huyo ni Mchungaji feki anasema Mtikila.
Hakuna asiyejua misikiti yote nchini inafanya kazi ya kuuchafua Ukrito, inahubiri waungane ili wauteketeze kabisa.
Alisema kipindi cha uchanguzi watu, wakiwemo wachungaji waliogopa kutaja ushirikina wa Kikwete huku wakingangania ni chaguo la mungu huo ulikuwa unafiki.
Hakuna mtu mchafu kama Kikwete, kwanza ni malaya ni mchawi, mimi ni rafiki yangu lakini siogopi kumsema kwamba yeye ni mbaya.
Mtikila alisema kwanza hata Alah mtume wanaomuabudu waislamu ni shetani na ushahidi ninao naweza kutoa ushahidi hata mahakamani, wataalamu wameniletea nyaraka zote zinazoonyesha.
Waislamu wanajiandaa kuanza kuwachinja wakatoliki lazima tuwe makini, roho ya woga ni roho ya shetani lazima tuwe jasiri kupambana, alisema