mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,730
Ha ha ha ha nimecheka sana. Mtikila wewe ni kifaa. Unajua mtikila ana akili za juu sana ndiyo maana watanzania wengi hatumuelewi. Nenda East Africa Court of Justice, Africa Court utakuta kesi za mtanzania pekee ni Mtikila.
Haachi kitu kipite hivi hivi. Ila kasoro moja tu, jamaa anahadaika na pesa kirahisi sana.
Hivi ukichaa ni mtu kusema yeye kichaa au ni wataalamu kuthibisha mtu ni kichaa baada ya matendo yake?
Mtikila alikuwa unatafuta atoke vipi..........