Mtikila kumshtaki Lusinde kikatiba

mtikila mara nyingi huwa anashinda.. tatizo ni utekelezaji wa adhabu.
 
Huyo kweli ni saizi ya Mtikila, Permission given, Mtikila go ahead.
 
Lusinde atatambua kuwa Tz kuna watu ambao hawataki mzaha wala utani. Akitoswa ccm itamsahau na itamfuta kwenye kumbukumbu zake. Sijui atafanya kazi gani nchi hii.
 
Hapo hakuna kesi, labda mtikila anataka coverage kwenye magazeti, kwani ili mtu aonekane ni kichaa lazima daktari athibitishe. hata ivo mahakama ni za ccm, lusinde ni ccm, matokeo ya hukumu ni hakuna kesi ya kujibu
 
Hivi ukichaa ni mtu kusema yeye kichaa au ni wataalamu kuthibisha mtu ni kichaa baada ya matendo yake?
Mtikila alikuwa unatafuta atoke vipi..........

ila hata kwa matendo yake huwazi kubisha kama yeye ni kichaa wa kuzaliwa! law is about logical truth...
 
Ni nani atajaribu kumpeleka mahakamani? Thubutu muone'ha 'ha'ha!! Mtaaibika sasa hivi.jaribuni sasa kama mnajipenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…