Mtikilia adai kutojiunga na mtandao wa "Saidia Kikwete Ashinde"!


Waandishi wetu nao wasiwasi sana. Swali muhimu lilotakiwa kufuata hapo ni kumuuliza ndugu Kasim kama amewahi kuonana na Mtikila sehemu yeyote ile, then at this alleged location. Na je amewahi kukaa naye Meza moja kwajambo lolote lile?????????

Kwa sababu Tanzania ni zaidi ya uijuavyo, nna uhakika kama kuna ukweli wowote lazima kigugumizi flani kingetokea!!!!!!!!
 
Nyambala, naungana na wewe, yes Mtikila ni very controversial na wakati mwingine namuona kama kichaa fulani, ila pamoja na yote, baadhi ya madai yake they make sense, kama hili linaonekana kinaukweli fulani. Sasa angalau nimemuelewa Mrema.

Hata kama mimi ndiye ningekuwa Mtawa, of course, lazima ningekanusha.
 
Nani muongo Mtikila au Mtawa
Kempi hotel lazima wana kamera au?
Mtawa inabidi afungue mashitaka dhidi ya Mtikila
Mtikila athibitishe tu! Dereva, mlinzi, waiter wanamuelewa sio?
Mtawa muongo?
&#!t

Sasa naye Mh Kikwete ni vipi kazuliwa jambo? Hilo nalo ni Jipya?
"Mtikila amzushia katibu wa Raisi"
 
Basi Mwamba, kumbe ulimzimikia ndio maana sasa umezimika. Bado wenzako wanawaka. Anafaa kuchangamsha wasikilizajilakini sio mzuri kuwa kiongozi mkuu. Apewe ubunge atafaa, ubunge waviti maalum. Bunge halitalala, hasa Qares akiwamo mle usingizi utamwishia.

Leka
 

Huyu bwana si ndio alisema kuwa hela za kampeni zimetoka Iran? Wahandishi walitakiwa kumtafuta huyo Kasim Mtawa wamuuliza kama alishawahi kukutana na Mtikila siku za karibuni, akikanusha wanakwenda Kempiski wanauliza kwa wahudumiu na meneja.
 
Huyu bwana si ndio alisema kuwa hela za kampeni zimetoka Iran? Wahandishi walitakiwa kumtafuta huyo Kasim Mtawa wamuuliza kama alishawahi kukutana na Mtikila siku za karibuni, akikanusha wanakwenda Kempiski wanauliza kwa wahudumiu na meneja.

Kuna register pale hata kama unakwenda kupata Uhuru Peak?
 
Kama yeyote atakayesimamishwa na CCM atashinda kaa inavyoaminiwa na kama kweli Kikwete anakubalika ndani ya CCM na Watanzania wanampenda kwani "hakuna mwingine".. huu mtandao una ulazima gani kama kweli upo? Maana hata kama mungu ameshasema yeyote atakayejitokeza kupingana na JK ndani ya CCM atakufa sasa wasiwasi ni wanini.. ?
 
Kweli, Iweni wavumilivu, Tutaona mengi sana hadi october 2010. Ila kura tumpigie mwenye Afya na Akili njema kwa maslahi ya Taifa hili. "Tuwe na nia moja ya ukombozi wa kweli"
 
kumekucha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
jambo moja tambua ipo laana inamtafuna JK na watu wake, wana woga unaosababishwa na kuwalisha watu upepo, bado kidogo sana naamini kwa dhati kua WATANZANIA wataamka na kutambua kua watawala wamewatafuna wakiwaacha mifupa, hapo ndipo ilipo hofu ya CCM na wapambe wao wanakosa waamasishaji tu.
wanajua kama ikatokea mtu mwenye hamasa kubwa JK atakua matatizoni sasa wanaziba mianya kwa nguvu zote .
naamini bado JK hajashinda uchaguzi kama watu wengi wanavyodhani, lolote linawezekana.
 
Alikubali kutumika kwenye uchaguzi mdogo wa Tarime halafu akatae kuingia kwenye mtandao mpya na mzito zaidi wa JK?! Kwa nini hakwenda pale Maelezo atujulishe haya siku ile alipoonana na huyo mwakilishi wa JK? Ana mvuto gani kwa Watanzania hivi sasa?
 
Mtikila Mtikila Mtikila..
Alikuwa chimbo gani???
Movie ndo kwanza treiler....
 

Kuna mahali nimesoma nadhani Tanzania daima Zitto ataka Kikwete apewe kipindi kingine.
 
in that case upinzani haupo tuseme hivyo!!!???
 
Kuna mahali nimesoma nadhani Tanzania daima Zitto ataka Kikwete apewe kipindi kingine.
Hapana. Itafute TD uisome tena au nenda kwenye mtandao wa Wanabidii usome alichokiandika Zitto wetu.
 
Kuna mahali nimesoma nadhani Tanzania daima Zitto ataka Kikwete apewe kipindi kingine.


Ni zitto niliyemjua tangu chuo kikuu au huyu ni yule Zitto wa CCM?

kama ni zitto wa CCM basi ni sawa tu maana ni utamaduni wao ila kama ni Zitto niliyemjua kwa imani ya dhati tangu chuoni basi ni vema atoe kanusho kubwa hapa au ktk vyombo vya habari maana dhambi hiyo itatafuna hadi vizazi vyake ya usaliti uliokithiri
Otherwise na mhimu zaidi THIBITISHA Kama Kweli kasema
 
All is political gamble wazee wangu. Hizi siasa za nama hizi ni hatari kwa taifa letu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…