Mtindo huu wa nywele unaitwaje?

Mtindo huu wa nywele unaitwaje?

Wanama

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
277
Reaction score
319
Je, mtindo huu wa kuweka nywele hivi (kwenye picha) unaitwaje ama unawekwaje na kama kuna mafuta ama dawa naombeni jina (majina) yake.

Segura esse perfil gritante --‍----✂️✂️------(JPG).jpg
 
Inategemea na aina ya nywele yko zingatia hili kwanza lakn pia Kama una nywele lain na ndefu Kama za mshkaj wanazicrotch ndio zinaleta iyo michilizi ya kulala

Baada ya hapo Kuna olive unapakwa au kuspray itategemea na anaekuhudumia Ana aina gan ya olive
 
Shukrani Sana nimepata mwanga kidogo
 
Back
Top Bottom