Zinapendeza sana.Contempo.(hiden roof) ni mtindo mpya wa ujenzi wa nyumba Tanzania lakini wengi wanaishia kupata hasara kwasababu wanajenga bila kua na michoro ya kitaalamu hivyo zinaishia kuvuja.
Ili ujenge mtindo huu unatakiwa kwanza kuwasiliana na wataalamu wa ramani wakuandalie mchoro hutapata shida wasiliana nao kupitia 0717 040 837
View attachment 1721964View attachment 1721963View attachment 1721964View attachment 1721965View attachment 1721966
Huuu ni muundo wa zamani sana, miaka ya 70's, ingawa hivi sasa umekuja na nakshi nakshi za kisasa. Niliwahi kuona hizi ramani kwenye kitabu cha miaka hiyo ( ninacho hicho kitabu), nitaweka picha zake hapa.Mbona huu siyo mtindo mpya sema siku hizi hazijengwi tena.
ni kweli kuna maeneo baadhi ya miji mijengo hayo bado ipoHuuu ni muundo wa zamani sana, miaka ya 70's, ingawa hivi sasa umekuja na nakshi nakshi za kisasa. Niliwahi kuona hizi ramani kwenye kitabu cha miaka hiyo ( ninacho hicho kitabu), nitaweka picha zake hapa.
"Exactly "Wabongo bwana...
Kuficha bati tu tayari mtindo wa nyumba waitwa "contemporary"...
Mtindo wa nyumba hautafsiriwi kwa muonekano wa nje tu bali ni details zote nje, ndani na hata kwenye landscaping hadi staging (mpangilio wa vitu vya ndani) n.k...
Nyumba nyingi za Kitanzania haziingii kwenye mitindo ya kimagharibi kwa kuwa tunajenga nyumba huku ikiwa na vionjo "characters" vingi...
Mwambie atembelee kilosa kilwa na pangani nyumba zzamiaka ya 50 na 60 ndio walijenga hvyoHuuu ni muundo wa zamani sana, miaka ya 70's, ingawa hivi sasa umekuja na nakshi nakshi za kisasa. Niliwahi kuona hizi ramani kwenye kitabu cha miaka hiyo ( ninacho hicho kitabu), nitaweka picha zake hapa.
Mleta postNani kakwambia ni ni mpya??