structuralist
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,230
- 907
Toa hoja kwa kuweka kapicha basi!hakuna kipya duniani
Hakuna jipya chini ya jua kamweeKwa wale ambao ni wa karne kadhaa watakumbuka kuwa hapo kale kulikuwa na mtindo wa watu hasa vijana wa miaka hiyo kuchana suruali hasa maeneo ya magotini na badhi kwenye paja. Yani mtu alikuwa nanunua suruali mpyaa kabisa ila anaichana ili tu aonekane kuwa katupia
Sasa kwa sasa naona hali hiyo imerudi kwa kasi. Nimeona kwa diamond na baadhi ya wasanii wengine wakivaa ena mtindo huo. Kubwa zaidi ni kwamba mtaani naona wasichana wengi na visuruali vilivyochanwa kwenye magoti na mapaja. Sasa najiuliza imekuwaje tena mpaka hii fasheni imerudi? Hawa vijana(KE na ME) wanadhani wamebuni kitu kipya au? Na je wanadhani wanapendeza sana?
Me bado naisubiria Raizon!
Mi nasubiri cha chachaMe bado naisubiria Raizon!
We madera ndio yanakupendezajeee? Tena ukiweka na lemba lako kichwani, alafu na ka mkia kako hapo nyuma, yan unanimalizaga kabisa Nifah weee!Hii fashion na inipite tu,naonaga kama ni uhuni flani hivi?
Siwezi kabisa kuvaa suruali ya kuchanika.
Hahahahahaaa mkuu madera labda kuendea sokoni.We madera ndio yanakupendezajeee? Tena ukiweka na lemba lako kichwani, alafu na ka mkia kako hapo nyuma, yan unanimalizaga kabisa Nifah weee!
Wacha wee! Na we Nifah unapigaga vimini? Mguu unao lakini? Embu ni inbox ka picha ka mguu wako ni uthaminishe tafadhali...Hahahahahaaa mkuu madera labda kuendea sokoni.
Tofauti na hapo.....
Excuse me.
Itakuja tu mungu akweke hai si muda mrefu utaionaMe bado naisubiria Raizon!