Mtindo wa kutunisha na kuacha sehemu ya MATITI wazi!

duh, bibi lesbian au??dunia kwishney!!!!!
 
Sasa wewe umejuaje manyonyo yakibanwa yanaumia? Hebu acha watu wafanye wanachojiskia. Mbona wewe huvai msuli ama suruali bwanga yenye turnups kama babu yako? Boobs oyeeeeee! Chezeiya, mpaka bibi katamani kushika manake ngozi ya manyonyo kama imelogwa jinsi inavyovutia!
 

Hapa ndo huwa na confirm hawa viumbe ni wa aina yake......

Mtu akisema wanawake (akina dada below 25 yrs) hawana akili ataonekana katukana,kumbe yupo sawa tu.....

Kwa kuwatembelea watu uchi mimi nitakuhesabu huna akili tu....(ni kama mwendawazimu aliyeamua kutembea uchi)

Huwa inanikera mpaka basi....

The Magnificient...!!
 
Huyo bibi anafaa kushiriki kwenye shindano la Bibi bomba.
 
Kuna siku pale mwenge machinga wanapouza nguo za wadada. Kuna mdada m1 alikuwa anatafuta top zilizokuwa zimemwagwa chini. Wakati ameinama HAMADIIII chakula ya mtoto itachomoka ilipokuwa na kuanza kuning'inia kama papai lililoiva mtini. Kwa kuwa alikuwa amevaa top ambayo iko luzi (isiyobana) mdada hakushtukia ile issue. Basi si kelele hizo watu weeeeweee watu full kunyoosheana vidole kuangalia chakula ya mtoto. Baada ya sekunde karibu arobaini ndo mmama m1 akaona lile tukio anamshtua mdada. AIBUUUUU!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mimi hupenda kusema si kila fashion uifanye, kwa kweli vingine tufanyavyo tunaharikiwa bila kujua hii style ya kuacha manyonyo wazi mi huwa inanikwaza sana.
 
wengine hadi unaona aibu titi limeachwa karibu lote wanaume wote mimacho hapo na binti mwenyewe hana hata shaka titi lenyewe limelegea jeusiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…