Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
Kuna matindo wa kitoto, woga, kibabe na kijinga sana sasa hivi unafanywa na ma DC, RC na Mawaziri wakati wakiongea na wananchi wanapozidiwa hoja au wanapotaka wananchi waogope utasikia wanawasukumizia wananchi wanaotoa hoja kwa ma OCD kama mbinu ya kuwanyamazisha.
Hii tabia inajenga hofu kwa wananchi na lengo ni kiwazuia wananchi kuongea. Ukiangalia huwa hakuna kosa lolote mwananchi amefanya lakini ghafla utadisikia, OCD mchukue huyo shughulika naye.
Nitoe wito kwa ma OCD kuwa mkiambiwa wachukueni ninyi kaeni nao pembemi mkutano ukiisha waachieni kwakuwa hawana makosa.
Viongozi acheni woga wapeni nafasi wananchi waongee msiwakatize kutaka waongee kile mkitakacho. Hayo ni mambo ya kizamani sana. Kama mmeshindwa kazi achieni ngazi.